Taja mambo mawili unayoangalia ili mwanafunzi wako ayaweze unapomfundisha msamiati. Eleza unavyoelewa istilahi zifuatazo katika somo la Kiswahili; Ufaraguzi Kongamano Tathimini Msamiati Eleza shabaha mbili (2) za kufundisha vitendawili katika shule za msingi. Eleza sifa mbili (2) za Vitendawili. Maandalio ya Somo ni nini? Orodhesha vyanzo vitatu tu vya maandalio ya somo Ni mambo gani muhimu yanayosaidia kuzungumza na kusikiliza kuwepo (Misingi ya kusikiliza na kuzungumza). Taja manne (4) tu. Eleza kwa kifupi mambo yanayofanyika katika ngazi ya matayarisho ya kufundisha kusoma. Zipo sababu nyingi zinazofanya wanafunzi washindwe kusoma katika viwango mbalimbali. Ukirejea mtoto wa darasa la tatu, unafikiri sababu hizo ni zipi? Taja sababu zinazotokana na mazingira ya shuleni. Wewe kama mwalimu katika darasa la tatu unafikiri hati nzuri ni ipi? Eleza utafundishaje nahau “Unga mkono” kwa mbinu ya maelezo katika darasa la sita. Eleza Mazoezi matano (5) yafaayo kutolewa kwa...