Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2017

PATA MSAADA HAPA

  OPEN ANY ANDROID PHONE

DHANA YA THIETA ZA KIJADI

Kwa mujibu wa kamusi ya fasihi istilahi na nadharia (2003) Thieta ni dhana inayotumiwa kurejerea masuala yanayohusisha uandishi na uigizaji wa sanaa za maonyesho. Dhana hii ina upana mkubwa kuliko neno sanaa ingawa mara kwa mara hutumika kama visawe. Mulokozi (2009) anasema thieta ni maigizo yanayotumia watendaji kuiga tabia na matendo ya watu au viumbe wengine ili kuburudisha na kutoa ujumbe fulani. Ni sanaa inayopatikana katika makabila mengi ya Tanzania. Udhaifu wa maana(fasiri) hii ni pale inaporejelea thieta kama uigaji wa tabia na matendo ya watu na viumbe, ambapo si kweli kwamba huiga tu matendo ya watu, mfano katika majigambo tunaona mtu anaigiza matendo yake mwenyewe na siyo matendo wala tabia za mtu au viumbe fulani. Thieta simulizi ni utanzu unaowasilishwa kwa masimulizi ya mdomo sambamba na uigizaji wa matendo (ambayo huweza kuwa ya mtu mwenyewe au mtu mwingine au viumbe vingine) na huifadhiwa kichwani, lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia utanz...

FASIHI YA KIAFRIKA, THIETA ZA JADI

UFASIHI UNAOJITKEZA KATIKA JUMBE FUPI ZA SIMU ZA MKONONI  FASIHI YA AFRIKA DONDOO 1.       UTANGULIZI -           Fasili ya dhana za msingi -           Mjadala kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa Thieta ya jadi ya Kiswahili 2.       MADA -           Thieta ya jadi ya Kiswahili ni nini/ipi -           Sifa za Thieta ya jadi ya Kiswahili/Kiafrika 3.       HITIMISHO Makala hii inakusudia  kubainisha sifa za thieta ya jadi ya Kiswahili /Kiafrika,lakini kabla ya kujikita katika mada yenyewe, dhana za msingi zitafafanuliwa kwanza ili kumwezesha msomaji kuelewa akutanapo na dhana hizo katika makala hii. Dhana hizo ni pamoja na miviga, drama/tamthiliya na sanaa za maonesho/thieta. Kerr(1995:1) ...

LIFE SKILLS FM1: SELF ESTEEM

SELF ESTEEM Concept of Self-esteem The Meaning of Self-esteem Explain the meaning of self-esteem Self-esteem is confidence in our ability to think, confidence in our ability to cope with the basic challenges of life, and confidence in our right to be successful and happy, how much you like yourself and feel lovable and capable. People with appropriate levels of self-esteem are assured in their right to feel worthy, enjoy the fruits of their efforts, and assert their needs and wants. Self-esteem, is the awareness that we are equal to the obstacles placed in front of us. "The most difficult phase of life is not when no one understands you. It is when you don't understand yourself." If you are not happy or satisfied with your life for reasons you can't pinpoint specifically, it's probably because your self-esteem might be in the low phase. Low self esteem can make you blame yourself for thin...