Posts

Showing posts from February, 2017

MODELS OF TRANSPORT

  MODELS OF TRANSPORT Transport, is the way people move from place to place. We travel on foot, by bicycle or car. In cities, public transport includes buses, trains, ships, planes and space craft make it possible for people and goods to travel great distance (Raum, 2011). It can also be defined as a movement of people, animals and goods from one location to another. Transport system, is concerned with movement of freight, people and information, tries to link spatial constraints and attributes with the origin, the destination, the extent, the nature and the purpose of movements. Models of transport are essential components of transport systems since they are the means by which mobility is supported. A wide range of modes, that may be grouped into three broad categories based on the medium they exploit which are land transport, water transport and air transport. Those modes can be elaborated as follows Land transport, this involves the movement of goods, services and peo

ZANA ZA KUFUNDISHIA

 ZANA ZA KUFUNDISHIA 1.   Zana za kufundishia , ni kitu au vitu vyovyote vinavyojengwa na kutumika katika kuinua kiwango cha elimu. Mwalimu yeyote anapaswa kujifunza utengenezaji na matumizi ya zana kwani ni nyenzo muhimu sana katika kazi ya kufundisha na kujifunza. Lengo hasa la kutumia zana katika kufundisha ni kukuza na kuinua kiwango cha kujifunza cha mwanafunzi. Kikawaida zana za kufundishia na kujifunzia hupaswa kuwa na sifa kama vile kubebeka, kuonekana, kuhifadhika, kusadifu mada, iendane na mazingira na iendane na umri wa wanafunzi. Baadhi ya waandishi wamebainisha aina tano za zana kama vile vitu halisi, bandia, video na sinema, chati na picha, redio, santuli, tepu rekoda. Zifuatazo ni aina kuu tatu   za zana za kufundishia katika ngazi za elimu yaani elimu ya msingi, sekondari, na sekondari ya juu:- Zana za kuonekana , hizi ni zana ambazo mwalimu huzitoa katika mazingira halisi ambapo huziandaa yeye mwenyewe au kuwaagiza wanafunzi waziandae ili kuweza kufanikish

Lugha haina uhusiano wowote na jamii, hali kadhalika jamii haina uhusiano wowote na lugha. jadili.

Image
SWALI. “Lugha haina uhusiano wowote na jamii hali kadhalika jamii haina uhusiano wowote na lugha”. Jadili kauli hii. Lugha ; ni mfumo wa sauti za nasibu zilizokua katika mpango maalumu na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika mawasiliano. TUKI (2013),kamusi ya Kiswahili sanifu,   Lugha ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambao hutumiwa na watu wa taifa au kundi fulani kwa ajili ya mawasiliano. Lugha ni maneno pamoja na matumizi yake. Jamii ni mkusanyiko wa watu wanaoishi kwa pamoja katika eneo moja la kijiographia wakiunganishwa na historia yao na wakitambuliwa kwa utamaaduni wao,lugha, mila na desturi,  Uhusiano ni hali ya ukalibu ujirani, urafiki au ushirikiano unaojengeka baina ya ndugu , jamaa au marafiki. Uhusiano ni hali ya kuwa pamoja kifikira ,kimwili kimawasiliano , kiimani, kimaendeleo, kikazi, kijamii na kimichezo.  Hakuna ukweli wowete kuhusu kauli isemayo kwamba’’ lugha haina uhusiano wowote na jamii , ha